BREAKING NEWS: AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA..
Taarifa zilizotufikia muda huu hapa ni kwamba Video queen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya Mama ngoma Mwenge kwa mujibu wa mawasiliano na chanzo cha karibu cha marehemu na kuthibitisha kifo chake.
Chimbuko blog inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
Marehemu Agnes enzi za uhai wake..
Tutaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kuhusu msiba huu.
Source; millardayo.com
No comments
+255716829257