Habari mpya

Safari ya mbalamo By Kibaja (Wimbo wa kipare)

Image result for upareni
                                                Maporomoko ya milima ya upareni
Marehemu mzee Kibaja (RIP) ni miongoni mwa wazee waliofanya vizuri sana enzi hizo katika uimbaji wa njimbo za asili kwa lugha ya kipare wakielezea mila na tamaduni za wapare katika nyanja mbalimbli za kimaisha. Katika wimbo huu ameelezea imani za kichawi kulogana pamoja na kuenda kwa waganga wa kienyeji kwa ajili ya mazindiko kama ilivyokuwa kawaida ya makabila mengi na jamii za kiafrika hapo zamani.
Sikiliza hapa chini..


No comments

+255716829257