Habari mpya

HII HAPA MISEMO "QUOTATIONS" ZA WATU MASHUHURI DUNIANI ZIKUFAAZO MAISHANI..

Image result for Misemo YA BUSara nyerere
Misemo ya maisha ya watu wenye ushawishi mkubwa kama Albert Einstein, Benjamin Franklin, Bill Gates, Leonardo da Vinci, Pablo Picasso, Voltaire ama William Shakespeare.
Image result for QUOTATION OF FAMOUS PEOPLE
  1. Maisha nikama kuendesha baisikeli. Ukitaka kuweka msawazo lazima uendelee kusonga
  1. Kaa katika uzuri wa maisha. Tazama nyota, na ujione ukikimbia nazo. Marcus Aurelius
  1. Furaha yako maishani inategemea na ubora wa mawazo yako- Marcus Aurelius
  1. Maisha yetu yako kuligana na mawazo yetu- Marcus Aurelius
  1. Mambo madogo yanahitajika kufanya maisha mema; yote ni ndani ya wewe mwenyewe katika njia yako ya kufikiri- Marcus Aurelius
  1. Sio heshima tu kuishi maisha ukifanya makosa, lakini ni muhimu zaidi kuliko kuishi maisha bila kufanya chochote- George Bernard Shaw
  1. Maisha si juu ya kujitafuta kibinafsi . Maisha ni kujijenga mwenyewe. George Bernard
  1. Wale sioweza kubadili mawazo yao hawawezi badili chochote- George Bernard Shaw
  1. Ishi nikama wafa kesho. Jifunze nikama utaishi milele- Mahatma Gandhi
  1. Panapo upendo pana maisha- Mahatma Gandhi
  1. Pale unapo jiamini, ndipo unapojua kuishi- Johann Wolfgang von Goethe
  1. Maisha ni mali ya wanaoishi, na anayeishi lazima awe tayari kwa ajili ya mabadiliko- Johann Wolfgang von Goethe
  1. Kama ushawahi kula ukilia, haujui utamu wa maisha- Johann Wolfgang von Goethe
  1. Hakuna kitu cha kutisha kuliko kupuuza katika hatua- Johann Wolfgang von Goethe
  1. Kuishi ni mara moja pekee, lakini ukifanya vema, mara moja yatosha- Mae West
  1. Hamna utamu kwa kupatikana ukicheza kwa udogo-kwa kukubali maisha duni kuliko yale uko na uwezo wa kuishi. Nelson Mandela
  1. Mtu akinyimwa haki ya kuishi maisha anayokusudia, hana budi ila kuwa mhalifu- Nelson Mandela
  1. Kawaida huonekana haiwezekani hadi inapofanyika –Nelson Mandela
  1. Waandani wazuri, vitabu vizuri, na dhamiri ya usingizi: hiyo ndio maisha bora- Mark Twain
  1. Uoga wa kifo hufuatia uoga wa maisha. Mtu anayeishi kikamilifu ako tayari kufa wakati wowote- Mark Twain
  1. Kwa maneno matatu naweza jumlisha kila kitu nimejifunza kuhusu maisha: Na yaendelea- Robert Frost
  1. Maana ya maisha ni kupata kipawa chako. Jukumu la maisha ni kuipeana- Pablo Picasso
  1. Ningetaka kuishi kama mtu maskini nikiwa na pesa nyingi – Pablo Picasso
  1. Twaweza msamehe mtoto kwa kuogopa giza; janga la maisha ni wakati wazee wanaogopa mwanga: Plato
  1. Lazima ufahamu maisha kwa ujumla, sio tu kipande kidogo tu. Hio ndio sababu lazima usome, hio ndio sababu lazima utizame angani, hio ndio sababu lazima uibe, na ucheze, na uandike mashahiri, na usononeke, na uelewe, kwa hayo ndio maisha. Jiddu Krishnamurti 
  1. Ni ukweli unaookoa, sio juhudi yako ya kuwa huru- Jiddu Krishnamurti
  1. Mtu haogopi yasiotambulika; mtu huogopa yanayojulikana kufikia mwisho- Jiddu Krishnamurti
  1. Wewe ndiye mkuu wa hatma yako. Unaweza athiri, elekeza na kudhibiti mazingira yako mwenyewe. Unaweza fanya maisha yako vile wataka yawe. – Napoleon Hill
  1. Kabla mafinikio yaje kwa maisha ya mwanamme, yeye yuko na uhakika wa kupatana na pigo la muda na hata kushindwa- Napoleon Hill
  1. Aliye na kwa nini ya kuishi anaweza stahimili kwa vyovyote. Fredrich Nietzsche
  1. Siri kubwa la maisha yenye mafanikio ni kutafuta hatima yako ya kufanya, na kuifanya. Henry Ford
  1. Unapofikiri unaweza, ama hufikiri huwezi- uko sawa – Henry Ford
  1. Hesabu umri wako kwa marafiki, sio miaka. Hesabumaisha yako kwa tabasamu, sio machozi- John Lennon
  1. Ndoto unayoota peke yako ni ndoto tu. Ndoto uotayo pamoja ni ya ukweli. Johns Lennon
  1. Maishani, tofauti na mchezo wa chess, mchezo waendelea baada ya kumaliza- Isaac Asimov
  1. Kitu cha huzuni kwa maisha sasa ni kwamba sayansi yapata maarifa haraka kuliko jamii inavyo pata busara. Isaac Asimov
  1. Maisha ni mazuri. Kifo ni Amani. Kinachosumbua ni mpito. Isaac Asimov
  1. Mtu anayethubutu kupoteza lisaa limoja hajatambua thamani ya maisha- Charles Darwin
  1. Kama vile siku ulivyoishi vizuri huleta usingizi mzuri, pia maisha ulivyoyaishi vzuri huleta kifo. – Leonardo da Vinci
  1. Napenda wale wanaoweza kutabasamu kwa shida. – Leonardo da Vinci
  1. Namna nyingi, ucheshi wote, urembo wote wa maisha hujumuishwa na mwanga na kivuLi. – Leo Tolstoy, Anna Karenina
  1. Kila mtu hufikiri kubadili dunia, lakini hakuna anayefikiri kujibadili mwenyewe- Leo Tolstoy
  1. Usawa mwingi waweza kuwa wazimu. Na uwazimu ule mkubwa, kuona maisha kama yalivyo na sio yanavyohitaji kuwa- Miguel de  Cervantes Saavedra
  1. Kuishi ni kitu cha nadra kikubwa dunia. Watu wengi huwa, hivyo tu. Oscar Wilde
  1. Kila nayeishi kama kadri ya anayoweza huteseka kwa kukosa ubunifu. Oscar Wilde
  1. Njia moja ya kupata mazao kutoka kwa maisha ni kuona maisha kama tukio- William Feather
  1. Kitu cha muhimu ni kufurahia maisha yako- kuwa mwenye furaha- hayo ndio mambo yanayohitajika. Audrey Hepburn
  1. Fanya hima kuishi au fanya hima kufa – Stephen King
  1. Maisha yanaweza kueleweka kinyumenyume; lakini lazima kuishi kuenda mbele. – Søren Kierkegaard
  1. Manufaa maishani ni kuwa wewe mwenyewe. Joseph Campell
  1. Nimetambua kwamba ukipenda maisha, maisha yatakupenda kwa usawia. –Arthur Rubinstein
  1. Maisha ni aslimia kumi kinachokutokea na aslimia tisaini vile wewe unavyoichukulia. Lou Holtz
  1. Kama wapenda maisha, usipoteze wakati, kwa sababu maisha yameundwa na wakati. Bruce Lee
  1. Hakuna mwanamume ambaye ameshindwa amabaye anafurahia maisha.- Wiiliam Feather
  1. Maisha ya mtu ya ukweli ni tunapokuwa tukiota kama tuko macho. Henry David Thoreau
  1. Maisha yangekuwa ya kutatanisha kama hatungekuwa wenye ucheshi. –Stephen Hawking
  1. Hatufanyi matendo ya haki kwasababu tuna wema ama ubora, lakini afadhali tuwe nazo kwa sababu tumefanya matendo kwa haki. Sisi huwa kile tunachokirudia kufanya. Ubora basi sio tendo lakini tabia. Aristole
  1. Kuna njia mbili pekee za kuishi maisha yako. Moja ni kama hakuna kitu cha miujiza. Ingine ni kama kila kitu ni miujiza. Albert Einstein
  1. Sisi wote wajinga, lakini sio wajinga wa kitu kimoja. Albert Einstein
  1. Kitu kubwa kwa kutoeleweka kwa dunia ni kueleweka kwake. Albert Einstein
  1. Kuna nguvu kuu ya kuendesha kuliko mvuke, stima na nishati ya atomiki. Ni mapenzi. Albert Einstein
  1. Jifunze kanuni za mchezo; Kisha cheza vyema kuliko wengine wowote. Albert Einstein
  1. Niambie na nisahau. Nifunze na nikumbuke. Nihusishe na nijifunze. –Benjamin Franklin
  1. Atakaye kuwa na subra atapata matakwa yake. Benjamin Franklin
  1. Ni sawa kushangilia mafanikio lakini ni muhimu zaidi kuzingatia mafunzo ya kushindwa. Bill Gates
  1. Mafanikio ni mwalimu mbaya. Hubemba hata waliowasomi kufikiri hawawzi kushindwa. Bill Gates
  1. Kila mwanamme ana haki ya kuamua hatma yake mwenyewe. Bob Marley.
  1. Hakuna mwingine ila sisi wenyewe tunaweza weka huru akili zetu. Bob Marley
  1. Ukifanya kukaa na kubishana kila siku, unatoa maombi kwa shetani. Bob Marley
  1. Afya ni zawadi kubwa zaidi, kuridhika ndio afya njema, kuaminika ndio uhusiano mwema. Buddha
  1. Mjinga hujifikiri kuwa mwenye hekima, lakini mwenye hekima hujijua kuwa mjinga. Buddha
  1. Usiishi kwa yaliyopita, usiote ndoto za wakati ujao, weka akili yako kwa mambo ya sasa. Buddha
  1. Hakuna anayeweza kupa mawaitha ya hekima kama wewe mwenyewe. Marcus Tullius Cicero
  1. Mtu mwenye ujasiri pia amejaa uaminifu. Marcus Tullius Cicero
  1. Maisha ya wafu huwekwa kwa kumbukumbu ya wanaoishi. Marcus Tullius Cicero
  1. Kutafuta, hata kwa mambo yale mazuri kabisa, lazima uwe na utulivu na ungwana. – Marcus Tullius
  1. Mtu yeyote anaweza fanya makossa, lakini mjinga huendelea kwa makosa yake. Marcus Tulluis
  1. Shukurani sio tu lile wema kubwa, lakini asili ya hayo yote mengine. –Marcus Tullius Cicero
  1. Haijalishi uendavyo polepole mradi usisisimame. Confucius
  1. Maisha ni rahisi, lakini sisi husisitiza kuifanya magumu. Confucius
  1. Ushindi wetu mkubwa sio kwa kukosa kuanguka, lakini kusimama kila wakati tukiaanguka. Conficius
  1. Kila kitu kina urembo, lakini sio kila mtu huona. Conficius
  1. Popote pale uendapo, enenda na moyo wako wote. Conficius
  1. Chagua kazi upendayo, nawe hutapata kufanya kazi hata siku moja maishani mwako. Confucius
  1. Kwa siku mpya huja nguvu mpya na mawazo mapya . – Eleanor Roosevelt
  1. Hakuna mtu anaweza kufanya kujihisi duni bila idhini yako. – Eleanor Roosevelt
  1. Siku za usoni ni ya wale wanaoamini urembo wa ndoto zao- Eleanor Roosevelt
  1. Hutasumbuka na watu wanavyokufikiria unapogundua vile kwa nadra wanavyofanya. Eleanor Roosevelt
  1. Fanya kitu kimoja kila siku kinachokuogopesha. – Eleanor Roosevelt
  1. Kwa kila dakika umekasirika unapoteza sekunde sitini za furaha. Ralph Waldo
  1. Usiende ambapo njia inaelekeza, lakini enenda ambapo hakuna njia na uwache nyayo. Ralph Waldo Emerson
  1. Kukuwa mwenyewe kwa dunia inayojaribu kila mara kukufanya uwe kitu kingine ndio fanikio kubwa. Ralph Waldo Emerson
  1. Kila wakati fanya kile unachokiogopa- Ralph Waldo Emerson
  1. Wakati wa giza tororo, unaweza ona nyota.    Ralph Waldo Emerson
  1. Kile ufanyacho hunena kwa sauti ambapo siwezi sikia unachosema. – Ralph Waldo
  1. Matumaini ni mazuri kwa kiamsha kinywa, lakini ni chakula cha jioni kibaya – Francis Bacon
  1. Staajabu ni mbegu ya maarifa- Francis Bacon
  1. Bila mziki, maisha yangekuwa kosa. – Friedrich Nietzsche
  1. Kisicho kuua chakufanya mwenye nguvu. – Friedrich Nietzsche
  1. Hakuna ukweli, maelezo tu. Friedrich Neitzsche

No comments

+255716829257