MAHAKAMA KUU YATOA ZUIO LA KUTOKAMATWA MBOWE KWA MUDA..
Mahakama kuu Dar es salaam imetoa zuio la muda kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutokamatwa na Polisi au kuwekwa kizuizini mpaka mpaka maombi yake yataposikilizwa Ijumaa ya Feb 24 2017.
credit: Ayo Tv
No comments
+255716829257