JE UNAFAHAMU KUWA MBEGU ZA MABOGA HUONGEZA NGUVU ZA KIUME??
Na Ramadhani Gidion.
Mbegu za
maboga zina faida nyingi sana kwa
afya ya mwanadamu. Mbegu za
maboga zimethibitika kuwa na kiwango
kikubwa cha virutubisho vya aina mbalimbali kuanzia
magnesium, manganese, shaba, protini, zinki nakadhalika.
Zifuatazo ni baadhi ya faida za
matumizi ya mbegu za maboga.
1.
KuongezaMaziwa Kwa Wanawake Wanao
Nyonyesha : Kwa wanawake wanao nyonyesha matumizi
ya mbegu za maboga huwasaidia kuongeza
kiwango cha maziwa yenye afya
kwa watoto wanao nyonya.
2.
Mbeguza maboga zina zina kiwango
kikubwa cha madini ya magnesium
ambacho mwanadamu anatakiwa kukitumia kila siku.
3.
Mbegu za maboga zina kiwango kikubwa
cha madini ya zinc ambayo yana
faida mbalimbali katika mwili
wa mwanadamu kama vile kuimarisha kinga
ya mwili, kuimarisha uwezo wa kuonja na kunusa,
ukuaji wa seli mbalimbali za mwilini,
kuimarisha afya ya macho na ngozi, kulinda
na kuimarisha insulin pamoja na kuongeza
uwezo wa kufanya tendo la ndoa
kwa wanaume.
4.
Mbeguza maboga ni miongoni mwa
vyanzo bora kabisa vya mafuta na acid
zitokanazo na mimea ambazo zina faida
kubwa sana kwa afya ya mwili
wa mwanadamu.
5.
Mbeguza maboga zinasaidia katika kulinda
na kuimarisha ufanisi wa tezi
kwa wanaume
Mbegu za
maboga zina faida kubwa sana
kwa wagonjwa wa kisukari kwani zinasaidia
katika kulinda, kuboresha, kuimarisha na kurutubisha
insulin
6.
Mbeguza maboga zina imarisha na
kulinda afya ya moyo na ini
7.
Mbeguza maboga zinasaidia katika
kuboresha usingizi. Kama una matatizo ya
usingizi unashauriwa kutafuna mbegu za
maboga pamoja na tunda kidogo. Hii itakusaidia
katika kupata usingizi mzuri.
Anza
kujenga tabia ya kuwa unatumia mbegu
za maboga kwa faida mbalimbali kwa
afya ya mwili wako kama ilivyo
onyeshwa hapo juu.
No comments
+255716829257