PICHA: MZEE YUSUFU ATANGAZA KUACHA MUZIKI..

Nguli wa muziki wa Taarab mzee Yusufu amechukua headlines katika vyombo mbalimbali hasa mitandaoni kuhusiana na kutangaza kuacha kazi ya muziki wa Taarab na kuaamua kuishika zaidi dini yake ya Kiislamu hivyo hatofanya tena muziki wa Taarabu.

.

.
No comments
+255716829257