TRUMP ANUSURIKA KUPIGWA RISASI..
Mwanamume mmoja raia wa Uingereza
anayetuhumiwa kwa kupora bunduki ya afisa mmoja wa polisi katika mkutano
wa kisaiasa wa Donald Trump, amewaambia wapelelezi wa Marekani kuwa,
alitaka kumuua kwa kumpiga risasi na kumuuwa mgombea huyo wa kiti cha
Urais wa chama cha Republican.
Kwa mjibu wa stakabadhi za
mahakama, Michael Sandford anasema kuwa aliendesha gari hadi Las Vegas
akiwa na nia ya kumpiga risasi Bw Trump siku ya Jumamosi.Awali Donald
Trump alimtimua Maneja wake wa kampeni Corey Lewandowski kwa kutofautana
naye katika kauli zake.Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden amemlaum Trump kwamba kauli zake ni za hatari.
chanzo: BBC
No comments
+255716829257