TAZAMA JINSI JOYCE KIRIA WA WANAWAKE LIVE ALIVYOPATA AJALI..
Mtangazaji wa TV, Joyce Kiria pamoja na crew ya kipindi chake,
Wanawake Live, wamepata ajali wakati wakielekea mjini Sumbawanga, Rukwa.
Walikuwa wakienda Sumbawanga kufanya mahojiano na msichana Wakonta aliyepooza mwili miaka minne iliyopita baada ya kugongwa gari wakati wa mahafali ya kidato cha sita Korogwe Girls.
“Juzi jtano tulianza safari ya kuja Sumbawanga toka kwa lengo la kumtembelea Wankota Binti Shujaa asiekata Tamaa kirahisi wala asieogopa changamoto, na pia ilikuwa tukitoka kwa Wankota, ni safari ya kwenda Mbeya kufanya kampeni ya Mwanamke Piga Kazi kesho jmosi kisha ndo tugeuze kurudi dar….. Leo mapema ndo tumeingia Sumbawanga, lakini kwa bahati mbaya tumepata Ajali tukiwa kijiji cha pili toka kwa kina Wankota….yaani tulikuwa tumebakiza km 20 kati ya km1500. Tunamshukuru Mungu sana tumepona maana ndo kikubwa,” ameandika Joyce.
“UHAI ndo zawadi tosha. Japo tumepata tatizo kubwa, lakini hatujakata Tamaa, ukizingatia Tulikuwa tunakuja kwa mtu ambae ametupa hamasa ya kutokata Tamaa haijalishi changamoto inayokukabili… Tupo porini tunajipanga jinsi ya kurudi Dar maana hatuna kitu tumepoteza baadhi ya vitu.”
“Haikuwa rahisi kuupigania uhai Guyz,la kumshukuru Mungu tumetoka salama ila dah vifaa vyangu vya productions #theothersideofmylife ni nyang’anyang’a Cameras, lights,mics zimechukua nafasi za maumivu yetu.Ila what i tell u guyz kazi itafanyika hata kwa kurekodi na sim, Kazi Kazi ,Huku tuliko tutatoka Hata Kwa Miguu..GARI NA VIFAA VINANUNULIWA ILA ROHO HAIUZWI ASEE,” ameongeza.
chanzo: Bongo5

No comments
+255716829257