Habari mpya

IN MEMORIES (R.I.P LANGA)..TAZAMA WIMBO WASANII MABALIMBALI WAKIMUENZI LANGA..


Siku kama ya leo june 13, miaka mitatu iliyopita alitutoka rapper Langa aliyewahi kuwa miongoni mwa washindi wa pop star na mwakilishi wa kundi la "Wakilisha". Langa atakumbukwa kwa hit songs zake kama matawi ya juu, Hip hop, rafiki wa kweli, ninaposimama na nyinginezo nyingi..Mungu ailaze roho ya marehemu langa mahali pema peponi, mbele yako nyuma yetu.

No comments

+255716829257