Habari mpya

KAMA UTANIPENDA YA DARASSA YAPOKEWA VYEMA NA MWANADADA LINAH..




Mwanadada linah kutoka jumba la vipaji THT amefunguka ya moyoni juu ya aina ya mwanaume anayefaa kuwa mume wake wa maisha ambapo Rapper Darassa anayefanya vizuri na hit ya "kama utanipenda" aliyomshikisha Rich Mavoko wa WCB ameonekana kuziteka hisia za mwanadada huyu..


Akizungumza na perfecto Tv Linah alifunguka haya...>>"Naweza ni kasema kuwa kutokana na tabia alizonazo Darassa anastahili kuwa baba maana nimekaa na Darassa kwa muda mfupi lakini nimemkubali sana, nimemuona ni mtu flani ambaye namkubali sana yaani Darassa ana kila kitu ambacho mimi natamani Boyfriend wangu angekuwa nazo",>>>Linnah.

No comments

+255716829257