Habari mpya

Polisi wabaini maandalizi ya shambulizi,Marekani

Wakati wakazi wa Orlando na Marekani kwa ujumla wakiomboleza kuuawa kwa watu 50 kwa kupigwa risasi na watu wanaodhani kwa walikuwa katika hafla ya watu wenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja mtu mmoja amekamatwa na silaha Los Angles Marekani.
Awali taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa mtu huyo aliyekamatwa kuhudhuria hafla moja ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja huko Los Angeles Marekani.
Polisi wanasema wanamzuilia mtu huyo James Howell kutoka Indiana kwa kupatikana na silaha nzito zikiwemo bunduki tatu aina ya assault rifles, kemikali na kizuia gesi cha kuvaa usoni.
chanzo: BBC

No comments

+255716829257