Habari mpya

DIAMOND PKLATINUM KUJA NA WIMBO MPYA AKIWASHIRIKISHA P SQUARE..

Mkali wa muziki nchini, Diamond Platnum ‘Simba’ ameanza kunguruma katika mitandao ya kijamii kuashirikia kujipanga kuachia ngoma yake mpya ambayo amewashirikisha wasanii wa kundi la P Square kutoka nchini Nigeria.
hhh
Muimbaji huyo hajaweka wazi ni lini kazi hiyo inatoka lakini kuna kila dalili kuwa kazi hiyo inaweza kutoka muda wowote.
Kupitia instagram, Diamond ameandika:

My People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can be the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua unakiu kias gani….haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe mtu wa kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P-SQUARE! ) Cc @peterpsquare @rudeboypsquare #SimbaKaseMa
ClZknBKUsAA-npt
Kitendo cha Diamond kupost picha hiyo na kuandika maneno hayo kumeibua hisia mbalimbali zenye furaha kwa mashabiki wake ambo wengi wameonyesha kuwa na furaha na wakitabiri kuwa huenda ikawa kazi kubwa kutokana na jinsi wanavyomuamini msanii wao na kusema kuwa hajawahi kuwaangusha.
kk
Haya ni maoni ya mashabiki kuhusu kazi hiyo.
baba_kai10karibu
Sana na tunaisubili kwa hamu sana wewe huwaga hukosei fundi na wala huwaga hutungi bifu na fulani ili ikupe kiki. weldone Chibu DANGOTE

miraji2441

Kabla ata haijatoka viuws 2mil we Simba umeshndkanaaaaaa aiseeeeeee

Shubi_ruby@shadilicious2015

Bado haijatolewa ndio maana kasema subscribe now, ili akiitoa utaweza kujua ipo ukaangalia. Na ukiweka notifications on basi utapata hapo hapo sekunde hiyo na kubonyeza kuiangalia kwa raha zako

cathbertkweka_depay

Simba akiunguruma msituni wanyama wote kmyaaaa @diamondplatnumz
mbarakamsalum
Very good simba keep fighting and moving fowrd.
CHANZO: Bongo5..

No comments

+255716829257