Habari mpya

CHINA: KUJITOA KWA UINGEREZA EU KUTAATHIRI UCHUMI WA DUNIA..

 
China imesema kuwa hatua ya Uingereza kuondoka kwa muungano wa ulaya italeta msukosuko wa siku nyingi katika uchumi wa dunia.
Waziri wa fedha nchini China Lou Jiwei, alisema kuwa ni vigumu kutabiri matokeo lakini yanaweza kuonekana hata ndani ya kipindi cha miaka kumi.
Licha ya hilo bwana Lou, alisema kuwa masoko yameathirika kutokana na kujiondoa kwa Uingereza.
chanzo: BBC

No comments

+255716829257