Habari mpya

Yanga imebakiza pointi nne pekee ili itangaze ubingwa wa VPL msimu huu wa 2015-2016.

Tambwe-Ngoma-1-e1443282353514
Vijana wa Jangwani wamezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuafutia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United katika Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.
Tambwe-Ngoma-1-e1443282353514
Yanga hadi saivi imebakiza pointi nne pekee ili itangaze ubingwa huo wa VPL Tanzania bara kwa msimu huu wa 2015-2016.
Mabao mawili ya washambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Ngoma na Amissi Tambwe wa Burundi, unaifanya Yanga ifikishe pointi 68 baada ya kucheza mechi 27.
source: bongo5

No comments

+255716829257