New AUDIO | KB - Binadamu | Download
Msanii KB jina lake halisi ni Kulwa Bilal, ni msanii chipukizi anayefanya vizuri sana kwenye hiii industry ya Muziki Tanzania chini ya management ya Clarence_june22 Events, amejikita haswa kwenye mziki wa bongo flavour hivi karibuni ametoa single mpya inayoenda kwa jina la BINADAMU
No comments
+255716829257