Habari mpya

MSANII 2 FACE ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA NA CHUO KIKUU NCHINI NIGERIA..

fat-joe-remy-real
Msanii wa Nigeria, 2Face amekuwa msanii wa kwanza wa nchi hiyo kupewa shahada ya heshima na chuo kikuu cha Igbinedion, Okada.
fat-joe-remy-realShahada hiyo ya heshima kwa 2Face alikabidhiwa ikiwa imeambatana na sherehe za kusherekea miaka 17 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho.
160509121714_rwanda_floods_9_624x351_bbc
kazi
Aliyekuwa Gavana wa jimbo la Edo, Chief Lucky Igbinedion ambaye ni makamu wa chuo hicho alihudhuria kwenye sherehe hizo akiwa sambamba na Prof. Sir. Victor Uwaifo na mchekeshaji maarufu wa nchi hiyo Maleke.
CHANZOBongo5.com 

No comments

+255716829257