Habari mpya

MASHAIRI YA KANYE WEST YATUMIKA KANISANI UINGEREZA..

Mashairi ya Kanye West kwenye albamu yake ya ‘The Life Of Pablo’ yameanza kutumika kanisani huko Uingereza.
34523D3200000578-0-image-m-96_1463552903461
Kwa mujibu wa gazeti la The Telegraph kanisa la St. Andrew limetumia baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo wa Kanye West, “”You’re not perfect, but you’re not your mistakes,” ambayo yapo kwenye wimbo wake wa ‘Olny One’.
Hiyo siyo mara ya kwanza kwa makanisa kutumia baadhi ya mashairi ya nyimbo kwa waumini wao. Mwaka jana kanisa la Christian City lililopo Toronto lilitumia mashairi ya Drake “For God So Loved The 6,” yaliyopo kwenye wimbo wake wa ‘Home Town’.
CHANZO: Bongo5

No comments

+255716829257