Mashabiki wa soka nchini Uturuki wameingia kwenye headlines baada ya maamuzi walioamua kuyafanya yamewashangaza wengi na sio ya kawaida, mashabiki wa klabu ya EskiÅŸehirspor wameamua kuchoma uwanja wao baada ya timu yao kufungwa goli dakika ya 93, kipigo ambacho kimefanya kuwa katika nafasi ya kushuka daraja.
Tazama video hapa chini..
Tazama video hapa chini..
No comments
+255716829257