KATIKA KUAZIMISHA MIAKA 20 YA AJALI YA Mv. BUKOBA MEI 21..HUU NI MNARA WENYE MAJINA YA WALIOPOTEZA MAISHA..
May 21, kila mwaka Tanzania huwa inakumbuka ajali ya meli ya Mv. Bukoba iliyozama ndani ya ziwa Victoria ikitokea Bukoba mkoa wa Kagera kuja Jijini Mwanza ni zaidi ya Watanzania 1,000 walipoteza maisha kwenye hiyo ajali, Unaambiwa ilibaki mita karibu 25 kufika kwenye Bandari ya Mwanza , May 21,2016 itafikisha miaka 20 tangu ajali itokee1996.
Wakati watanzania tunangoja muda ufike kuanza ibada ya kuwaombea Marehemu walipoteza uhai kwenye hiyo ajali.
Wakati watanzania tunangoja muda ufike kuanza ibada ya kuwaombea Marehemu walipoteza uhai kwenye hiyo ajali.
No comments
+255716829257