Habari mpya

HIZI NDIZO VIDEO KALI ZAIDI ZA MUZIKI KUTOKA AFRIKA WIKI HII..

Unakutanishwa na video 8 kali za muziki Afrika kwa wiki hii kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Kenya, Tanzania, South Africa na Nigeria.
8. SAUTI SOL x MI CASA – TULALE FOFOFO imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Apr 25, 2016 na kutazamwa mara 194,223

7.Lagos To Kampala -Run Town ft. Wizkid imewekwa kwenye mtandao wa YoutubeMar 29, 2016na kutazamwa mara 841,594

6.Olamide – Abule Sowo  imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Mar 21, 2016 na kutazamwa mara 948,056

5. Sauti Sol and Alikiba (Mtanzania) – Unconditionally imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Mar 10, 2016 na kutazamwa mara 1,761,491

4. Falz – Soldier  imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Apr 6, 2016 na kutazamwa mara 162,534

3. Vanessa Mdee – Niroge (Mtanzania) imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Mar 24, 2016 na kutazamwa mara 610,366

2. OSINACHI (Remix) – Humblesmith ft. Davido imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Jan 31, 2016 na kutazamwa mara 1,704,033

  1. Patoranking – Another Level imewekwa kwenye mtandao wa Youtube Feb 6, 2016 na kutazamwa mara 1,704,033

CHANZO: millardayo.com 

No comments

+255716829257