Habari mpya

ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM AFARIKI DUNIA NA HICHI NDICHO CHANZO CHA KIFO CHAKE..

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam, Wilson Kabwe amefariki dunia, mwili wake unatarajiwa kuzikwa Jumatano ijayo kijijini kwake Mpinji wilayani Same, Mtoto wa marehemu Geofrey Kabwe ametaja chanzo cha kifo chake kuwa ni saratani ya tezi dume na kuharibika kwa ini.
chanzo: Millardayo.com 

No comments

+255716829257