Habari mpya

Tazama Episode 2 ya usaili wa filamu ya XBaller

Usaili wa filamu mpya ya XBaller ulifanyika Dar es Salaam mwanzoni mwa mwezi huu. Alikuwa akitafutwa muigizaji wa kike na hivyo wasichana wengi walijitokeza kujaribu bahati zao. Hii ni episode ya pili ya usaili huo uliofanyika Makumbusho, IFM.


No comments

+255716829257