PICHA 10: Hadi kufikia March 2016 hivi ndivyo vinatajwa kuwa Viwanja 10 bora vya ndege Duniani
Kwa mwaka wa nne mfululizo uwanja wa Ndege wa Singapore Changi umekuwa ndio uwanja wa ndege bora zaidi duniani ukishika nafasi ya kwanza na ulichukua tuzo zaSkyTrax World Airport Awards 2016 ambapo ulitangazwa huko Gologne Germany, Tuzo za Skytrax zinategemea kura zinazokusanywa kutoka kwa mamillioni ya abiria.
No comments
+255716829257