Habari mpya

NEW AUDIO KWELI EMCEE_ NI YEYE MDUNDO.COM | DOWNLOAD|LISTERN


Sasa unaweza kusikiliza na kupakua wimbo mpya kutoka kwa KWELI EMCEE kupitiaMDUNDO.COM. Wimbo umetengenezwa na producer kutoka TAMADUNI MUSIC maarufu kwa jina la NGWESA ndani ya studio za 84 RECORDS.

Hii ni baada ya FREESTYLE LIFE wimbo ulioachiwa ikifuatia mafanikio ya wimbo uliofahamika kama NAJITEGEMEA akishirikishwa KIMBUNGA MCHAWI ikiwa ni mikono yake BONNY BANXkutoka studio za BAD MAN RECORDSwimbo uliofanya vizuri kupitia kurasa mbalimbali za burudani ikiwemo kweliemcee.blogspot.com.


http://mdundo.com/song/51984

No comments

+255716829257