Habari mpya

Hiki hapa kipande cha kusisimua cha movie ya SHOBO DUNDO...Unapoponea chupuchupu kufumaniwa alafu unafungiwa ndani.

Kutaka kumalizia uhondo huu wa movie hii ya kusisimua ya SHOBO DUNDO iloyochezwa na waigizaji mahiri wa kitanzania,yenye mtiririko wa visa vilivyoundwa kwa ujuzi wa hali ya juu na wakuvutia nenda ukajipatie nakala yako halisi kwani tayari filamu hii amizing ipo madukani...SHOBO DUNDO ni kile ulichokuwa unakisubiri kwa hamu kwani ulikikosa siku nyingi..get enjoy.



kutoka:millardayo.com

No comments

+255716829257