Habari mpya

Urais wa Shein Z’bar? ya Maalim Seif? Magufuli hospitali kwa Sumaye? Msiba wa Mbunge.. #Uchambuzi | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini

Shein
Rais wa Zanzibar Dk.  leo ataongoza watu mbalimbali kwenye sherehe za maadhimisho ya Mapinduzi.
Dk. Shein asema anaongoza Urais wa Zanzibar kihalali, mwenye kumpinga aende Mahakamani wala hatishwi… Rais Magufuliatoa pole kwa familia ya Mama Maria Nyererebaada ya msiba wa aliyekuwa Mbunge viti maalum CHADEMA, Mama Leticia Nyerere.
Rais Magufuli amshtua Waziri Mkuu mstaafu,Frederick Sumaye kwa kwenda kumjulia hali hospitali bila taarifa… Mbwana Samattaampa zawadi ya jezi yake ya TP Mazembemstaafu JK,
Mgogoro wa Umeya Dar huenda ukaathiri bajeti ya 2016 kutokana na kutokuwepo kwa Baraza la Madiwani kupitisha Bajeti mpya… Matukio ya uhalifu wa kutumia silaha mfululizo yashtua vyombo vya dola mkoa wa Kilimanjaro, Waziri wa Mambo ya Njeamesema hakuna mtumishi atakayeachishwa kazi bali wanatakiwa kuwa na nidhamu na bidii kwenye utendaji.
source millardayo.com..http://www.magazetini.com/news/urais-wa-shein-z%E2%80%99bar-ya-maalim-seif-magufuli-hospitali-kwa-sumaye-msiba-wa-mbunge-uchambuzi

No comments

+255716829257