Habari mpya

NEW SONG; KWELI EMCEE- LIVING IN FREESTYLE.

Huu ni mzigo mpya kutoka kwa rapper KWELI MCEE kazi inaitwa "LIVING IN FREESTYLE"  akiongea na Blog hii KWELI amesema kazi yake  imegusa nyanja zote za mziki wa HIP HOP  zikiwemo OPPORTUNITIES, FREEDOM, POWER, KNOWLEDGE, APPRECIATION na RESPECT, kama njia za EMCEE yoyote anayeishi ndani ya nguzo ya FREESTYLE (LIVING IN FREESTYLE).


Sasa unaweza kupakua na kusikiliza wimbo huu kutoka kwake KWELI EMCEE. Wimbo umetengenezwa na MAN DVD ndani ya studio za BOKAZY ENTERTAINMENT. Katika msimu wa mwaka 2016 SIFA BINAFSI ikifungua dimba ikiwa ni zao kutoka BOKAZY pia.

FREESTYLE LIFE ni njia ya pekee katika kutafuta muonekano wenye usawa wa fikra na maarifa shirikishi katika kutatua baadhi ya mambo yanayotuzunguka katika jamii yetu, hasa yanayosadikika kuwa na matokeo hasi.
fuata link hii kusikiliza na kupakua....http://mdundo.com/a/12746

No comments

+255716829257