MAULIDI YA KUZALIWA MTUME MOHAMMAD (S.A.W).
Maulidi ya kuzaliwa mtume Mohammad (s.a.w) yataazimishwa siku ya alhamisi desember 24,2015 ambako kitaifa yatafanyika katika viwanja vya karimjee jijini dar es salaaam mgeni rasmi akiwa ni waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.Chimbuko blog inawatakia waislamu wote maadhimisho mema.
No comments
+255716829257