Habari mpya

Rais Magufuli amlilia Dr. Reginald Mengi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemlilia Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi kwa kuandika katika Twitter akaunti yake.
“Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mzee na Rafiki yangu Dkt. Reginald Mengi. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk maendeleo ya Taifa letu na maono yake yaliyopo ktk kitabu chake cha I Can, I Will, I Must. Poleni wanafamilia, wafanyakazi wa IPP na Jumuiya ya Wafanyabiashara”

No comments

+255716829257