Habari mpya

Hawa ndio wachekeshaji walioingiza mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2018



Kupitia jarida la Forbes 2018 limetaja list ya wachekeshaji walioingiza mkwanja mrefu zaidi duniani list hiyo inaongozwa na mfalme wa uchekeshaji Jerry Seinfeld ambaye anatajwa kuingiza mkwanja zaidi ya shilingi Bilioni 130 za Kitanzania kwa mwaka wa pili mfululizo.
Mchekeshaji Kevin Hart anashika nafasi ya pili pesa nyingi imetokana na filamu yake ya ‘Jumanji’ iliofanikiwa kumuingizia mauzo zaidi ya Tsh. Trilioni 2 duniani kote ikiwa pamoja na tamasha lake ‘Irresponsible Tour’ ambalo limekuwa tamasha kubwa kwa mwaka 2018 na kuingiza jumla ya Tsh bilioni 69.
Wachekeshaji wanaliongiza mkwanja mrefu mwaka 2018 duniani
10. Sebastian Maniscalco
Earnings: $15 million
9. Jeff Dunham
Earnings: $16.5 million
8. Jim Gaffigan
Earnings: $17.5 million
7. Terry Fator
Earnings: $18 million
6. Gabriel Iglesias
Earnings: $20.5 million
5. Ricky Gervais
Earnings: $25 million
4. Chris Rock
Earnings: $30 million
3. Dave Chappelle
Earnings: $35 million
2. Kevin Hart
Earnings: $57 million
1. Jerry Seinfeld
Earnings: $57.5 million

No comments

+255716829257