Habari mpya

Lulu afunguka haya baada ya kumaliza kifungo chake

Muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kauli yake ya kwanza kupitia ukurasa wake wa instagram tokea amalize kutumikia adhabu yake ya kifungo cha nje November 13,2018.
May 15,2015 Mahakama kuu ya Tanzania ilimbadilishia adhabu muigizaji Elizabeth Michael na kumuachiwa huru ikiwa na kutumikia kifungo cha nje akiwa chini ya sheria za Mahakama.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Elizabeth Michael amewashukuru wale wote waliokuwa nae kwenye safari hiyo ngumu na kusema kwamba kilikuwa ni kipindi chenye maumivu ,matusi, hukumu za wanadamu lakini anamshukuru Mungu kwa kila kitu.


No comments

+255716829257