Habari mpya

Kizeba atuma salam kwa Rais Magufuli baada ya kutumbuliwa

Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu Rais John Pombe Magufuli atengue uteuzi wa baadhi ya Mawaziri aikiwemo Charles Mwijage pamoja na Charles Tizeba,Ikiwa zimepita siku nne tangu Rais John Pombe Magufuli atengue uteuzi wa baadhi ya Mawaziri aikiwemo Charles Mwijage pamoja na Charles Tizeba, November 13, 2018 Charles Tizeba alipata nafasi ya kuuliza swali la nyongeza ambapo alitumia nafasi hiyo kufikisha salamu kwa Rais Magufuli.  Charles Tizeba alipata nafasi ya kuuliza swali la nyongeza ambapo alitumia nafasi hiyo kufikisha salamu kwa Rais Magufuli.
TAZAMA hapa chini LIVE kupitia AyoTV

No comments

+255716829257