Habari mpya

Video ya wimbo mpya wa ALIKIBA "hela" yafutwa Youtube kufuatia mapokezi mabaya ya mashabiki

Inasemekana kuwa  baada ya saa chache Ali Kiba kuachia ngoma yake ya ‘Hela’kwenye mtandao wa You Tube ameifuta kutokana na comments za mashabiki kuwa mbaya kuhusu ngoma hiyo.
Nyimbo hiyo ya ‘Hela’ iliwahi kusikika miaka kadhaa nyuma kama audio na hivyo mashabiki wameonekana kutopendezwa na video ya ngoma hiyo kutoka mwaka 2018ikiwa ngoma hiyo ni ya siku nyingi .
Kutokana na official video ya wimbo wa ‘Hela’ kutoonekana kwenye mtandao wa You Tube, wengi wamehoji na kusema kuwa King Kiba ameufuta wimbo huo kutokana na mapokezi mabaya aliyoyapata kwenye comments baada ya kuuachia wimbo huo mida ya saa sita usiku.

No comments

+255716829257