Habari mpya

TANZIA : Producer Pancho Latino afariki dunia na hiki ndicho chanzo cha kifo chake..


Producer Pancho Latino ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo kwa Prince Dullysykes na Hermy B amefariki, chanzo cha kifo chake kimetajwa kwenye taarifa za awali kuwa ni kuzama kwenye maji kwenye kisiwa cha Mbudya Dar es salaam.

Aidha baadhi ya mastaa wameonesha kuguswa kwao na taarifa hizo na kuandika masikitiko yao kupitia kurasa zao za instagram ambapo miongoni mwa watu hao ni pamoja na mtayarishaji mkongwe wa muziki wa Bongofleva Marco Chali.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio zima la kutokea kwa kifo cha mtayarishaji huyo wa muziki, amefunguka mengi alipohojiwa na Ayo Tv
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments

+255716829257