Habari mpya

Makonda azungumza na TPSF juu ya UGUMU wa upatikanaji wa leseni za biashara Dar

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amekutana wa watendaji wa TPSF ambapo ishu ya upatikanaji wa Leseni za biashara kuwa mgumu kwenye Jiji la Dar es salaamsuala hilo limefika mezani kwake.
Akizungumza Makonda amesema “Kupata leseni ya biashara kwenye mkoa wetu imekua ngumu mno wakati ilitakiwa kuwa rahisi kwa mtu kuingia kwenye mfumo na kufurahia hiyo biashara’

No comments

+255716829257