Habari mpya

JPM ateua Mkurugenzi mpya NIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Uteuzi wa Dkt. Kihaule unaanza leo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Kihaule alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU).

No comments

+255716829257