Habari mpya

VIBE KAMA LOTE: Tigo Fiesta 2018 yazinduliwa rasmi

CLOUDS MEDIA GROUP wakishirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Tigo wamezindua rasmi Tamasha la TIGOFIESTA na wametaja Mkoa ambao wataanzia mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Gadner G. Habash ambaye ni Katibu Mkuu Mtendaji wa Tamasha la Fiesta kwa mwaka huu lenye kauli mbiu Vibe Kama Loteeee  amewaomba wanahabari kutoa ushirikiano katika mchakato mzima wa tamasha hilo kubwa la muziki Afrika Mashariki.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments

+255716829257