Barabara ya juu katika eneo la Tazara ambayo inazinduliwa leo na Rais Dkt.John Pombe Magufuli ujenzi wake umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 100.52 na umejengwa kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lao la msaada la JICA. TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
LIVE: Rais Magufuli anazindua Fly Over ya Tazara
Reviewed by Chimbuko Online
on
September 27, 2018
Rating: 5
No comments
+255716829257