Habari mpya

Nandy afunguka haya juu ya ushiriki wake AFRIMA akiwa katika category moja na Vanessa Mdee

Mwanadada Nandy anayefanya vizuri sana kwa sasa katika muziki wa  bongo flava nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla  amefunguka ya moyoni baada ya kutangazwa kushiriki kwenye tuzo za AFRIMA yeye na msanii mwenzake Vanessa Mdee.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI 

No comments

+255716829257