Dr Mwigulu Nchemba afanya mkutano na wananchi wa jimbo lake baada ya utenguzi wake
Ikiwa zimepita takribani siku sita tangu Rais John Pombe Magufuli kufanya mabadiliko madogo katika baraza lake la Mawaziri ikiwemo kumuondoa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr Mwigulu Nchemba na nafasi hiyo kuchukuliwa na Kangi Lugola.
Hatimaye Nchemba kwa mara ya kwanza tangu kutenguliwa kwake amefanya mkutano na wananchi wake wa jimbo la Iramba Maghairi na kuzungumza nao ikiwemo tetesi za mitandaoni kwamba anataka kujiuzulu nafasi ya Ubunge baada tu ya kutenguliwa katika nafasi ya Uwaziri.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
No comments
+255716829257