Habari mpya

Tanzia ; Mapacha walioungana Maria na Consolata Wafariki dunia..

Usiku wa June 2, 2018 Mapacha wawili walioungana, Maria na Consolata wafariki dunia ukatika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa walikokuwa wakipatiwa matibabu.
Tangu mwishoni mwa mwaka jana, mapacha hao walifanyiwa uchunguzi mara kadhaa baada ya kupata matatizo ya moyo.
Katika jitihada za kutafuta suluhu ya ugonjwa wao, walifika kupatiwa matibabu ya moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi Amin.

No comments

+255716829257