Habari mpya

FUNUNU NYINGI KIFO CHA SAM WA UKWELI

Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuzidiwa ghafla akiwa studio, mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo amesema Sam alikuwa akiumwa.
FUNUNU ZA KIFO CHAKE TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments

+255716829257