Habari mpya

BREAKING NEWS: DODOMA YAPANDISHWA HADHI KUWA JIJI..

Image result for DODOMA
Akihutubia katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameipandisha hadhi dodoma kutoka manispaa na kuwa jiji, sasa ni makao makuu ya nchi, jijini Dodoma.
#Nini maoni yako katika hili??

No comments

+255716829257