HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na itaanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017.
Waombaji wote wa mikopo watarajiwa mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz
No comments
+255716829257