FAIDA ZA MTI WA MKOMAMANGA
Mti wa Mkomamanga ni mti wenye faida nyingi sana katika afya ya mwanadamu.
Mti huu una virutubishoafya mbalimbali ambavyo ni muhimu katika afya ya mwanadamu.
Virutubisho hivyo vinapatikana kwenye magome,
majani, mbegu, maganda ya matunda,
juisi ya matunda pamoja na
kwenye maua ya mti wa mkomamanga.
Zifuatazo ni faida muhimu za mti wa mkomamanga
:
1. Maganda ya tunda la mkomamanga yakichemshwa hutoa juisi ambayo hutumika kama dawa ya kufunga kuhara.
2. Majani ya mkomamanga hutumika kutibu hali ya tumbo kujaa gesi na kudhibiti tindikali (acid) tumboni.
3. Majani ya mkomangana hutumika pia katika kutibu tatizo la kuhara damu na kutibu maambukizi ya bacteria katika kibofu cha mkojo.
4. Rojo ya mbegu za mkomamanga ikichanganywa na maziwa fresh,
hutumika kutibu tatizo la mawe kwenye figo.
5. Fukuto ya komamanga husaidia kutibu minyoo aina ya tegu pamoja na uvimbe wa wengu.
6. Komamanga husaidia katika kutibu tatizo la vidonda vya tumbo.
7. Komamanga pia ni mahiri katika kutibu magonjwa ya kusendeka (
magonjwa ya muda mrefu ),
kama vile saratani ya tezi dume,saratani mbalimbali,
kisukari,
baridi yabisi na uvimbe katika maungio ya vidole
( gout )
8. Komamanga husaidia kuondoa sumu mwilini
9. Husaidia katika kupambana na tatizo la uzito mwilini
10. Husaidia kuua virusi vya aina mbalimbali mwilini.
No comments
+255716829257