Habari mpya

WAKURUGENZI SITA WA NSSF WASIMAMISHWA KAZI..



Bodi ya wakurugenzi ya NSSF imewasimamisha kazi wakurugenzi sita na mameneja sita kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizopo kwenye ripoti ya ukaguzi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG)
.WhatsApp-Image-20160718 (2).jpegWhatsApp-Image-20160718 (1).jpeg

No comments

+255716829257