TCU YATOA UFAFANUZI WA ALAMA MPYA ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU KATIKA TANGAZO LAO LA AWALI..
Tume ya vyuo vikuu "TCU" imefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la awali kuhusu alama mpya za kujiunga na vyuo vikuu ambapo wamesema kuwa ni principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana angalau muombaji awe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo.
No comments
+255716829257