Kyle Edmund atinga Davis cup.
Mwingereza Kyle Edmund ametinga katika hatua ya nusu fainali ya Mashindano ya Davis Cup baada ya kumbwaga mserbia Dusan Lajovic .Kabla ya ushindi huu Edmund siku ya ijumaa alishinda kwa seti 6-3, 6-4, 7-6, 7-5 sawa na alama 3-1.
Huku Jamie Murray na Dom Inglot wakishinda kabla ya ushindi wa Edmund
No comments
+255716829257