Habari mpya

Hakuna mazungumzo kati ya Man United na Pogba

Klabu ya Manchester United inam'mezea mate Paul Pogba lakini hakuna mpango wowote wa kuonyesha kuna mazungumzo ya kumsajili mchezaji huyo yameanza.
Uvumi umekuwepo kuhusu uhamisho wa mchezaji huo wa pauni milioni 100 unaotarajiwa kuvunja rekodi ya dunia,lakini BBC Sport imeambiwa kuwa hakuna mazungumzo yoyote yalioanza kati ya Manchester United na Juventus.

Image copyrightGETTY
Image captionPogba kushoto

Cha mno ni kwamba Pogba kwa sasa anaichezea timu ya Ufaransa na hangependa kuathiri matayarisho yake ya fainali ya Euro siku ya Jumapili dhidi ya Ureno

No comments

+255716829257