Habari mpya

YANGA YACHAPWA NA BEJAIYA 1-0..

wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja chungu kutoka kwa Bejaiya ya Algeria.
Yanga watalazimika kuzikata kilomita 6120 kurejea kwao Tanzania kabla ya kujipanga kukutana na Kisiki kingine TP Mazembe ya DRC.

No comments

+255716829257